Sambaza

Mke Wa Obama Akiri Kuwa Na Ugonjwa Wa Sonono

MKE wa aliyekuwa Rais wa Marekani Obama, Michelle Obama amesema kuwa ana tatizo la Sonono kwasababu ya kuwa na mawazo yaliyokidhiri hasa baada ya kuwepo kwa ugonjwa wa virusi vya Corona , ubaguzi wa rangi na unafiki wa utawala wa Trump.

“Nimekuwa nikikabiliana na hisisa za kubadilika badilika kitu ambacho kinahitaji kujielewa binafsi ili kukabiliana na ugonjwa huu,” alisema Michelle Obama.

“Ninanaamka usiku wa manane kwasababu nina wasiwasi juu ya kitu fulani au nawaza kuhusu mzigo mzito ninaoubeba moyoni,” aliendelea kusema Mke wa Obama.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey