Sambaza

Dj Khaled Awaburuza Billboard Mahakamani

MUANDAAJI wa muziki nchini Marekani DJ Khaled ametumia kiasi cha ($5 million) sawa na TZS Bilioni 11 kuandaa album yake ya Father Of Asahd.

Huenda atawapeleka mahakamani Billboard kwakua album yake kushindwa kukamata namba 1 kwenye chati za Billboard 200 wiki moja baada ya kuachiwa rasmi.

Dj Khaled ameamua kuipeleka kortini Billboard ni kwa sababu ya kushindwa kuchukua mahesabu (100,000 Units) ya mauzo ya nguo “Merch” za album hiyo kama walivyofanya kwa “IGOR” ya Taylor The Creator ambayo ilikamata namba 1.

Nataka nikujuze kua Billboard wanahesabu na mauzo ya bidhaa za nguo (Merchandise Sales) na kuyaweka kwenye mjumuisho wa mauzo ya nakala za album. Hii inatukumbusha ugomvi wa Nicki Minaj (QUEEN) na Travis Scott (AstroWorld) mwaka jana!

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey