Idris Sultan amuomba msamaha JPM – Video
MSANII maarufu wa vichekesho Bongo Idris Sultan amemuomba radhi Rais wa Tanzania John Magufuli kutokana na kuhariri picha ya kiongozi mkuu huyo wa nchi na kuiweka katika ukurasa wa mtandao wake wa kijamii wa Instagram.
Idris ameomba radhi hiyo leo alipokuwa na mkutano na waandishi wa habari.
Toa Maoni Yako Hapa