Sanchi World akunusha story za kuhusika kwenye video ya ngono
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na video za faragha za mwanadada anaehisiwa kuwa ni Sanchi (@sanchiworld)
Sasa Sanchi (@sanchiworld) afunguka kwa mara ya kwanza na kuandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram .
“Sikutaka hata kuaddress hili jambo lkn nimeona linakua kwa kasi sana. Let me say this clearly hizo video mnazotumiana huko whatsapp SIO MIMI. Jamani msinifananishe na shepu zakawaida mnanikosea. Yani sijaumbwa hivyo. Take your time kuchunguza utajua tu. Wala hutotumia nguvu nyingi kujua hizo video sio mimi. Details kidogo tu.
Kuna video nimeona mdada amelala kwny jacuzzi jamani hiyo sio shape yangu. Hiyo shape ni ndogo mnooo. Mimi ningelala ivo ingekua hatari ningesambaa sana manake nimejazia zaidi. Jacuzzi zenyewe huwa sitoshei nakaa kiupande. Rangi yake pia sio kama yangu. Na maziwa yangu yamejaa zaidi sio kama hayo. .
Kuna video yakujimanua mimi sina mguu njiti vile ? huo mguu wa toothpick na hayo manyama nyama kiunoni mimi nayatoa wapi? Katako kenyewe kadogoo ? Katika maisha yangu Mwenyezi Mungu shahidi sijawahi kurekodi video eti nijichanue ivo mtegemee siku mtaiona hadharani HAKUNA.
.
Bado yajayo yanafurahisha. Siterereki wala sitoyumbishwa. Kwa wanaojifariji kusema ni mimi Darlings am sorry to disappoint you it ain’t me. Nimepost hili kwa ajili ya watu ninaowapenda wasijekuamini uongo.”