WASANII KUMI TANZANIA WALIOTAZAMWA ZAIDI SEPTEMBA 2021- YOUTUBE
Na Bakari Mahundu, Dar
Mtandao unaohusika na kutoa takwimu za wasanii Bongo, ChartDataTz, umetoa orodha ya wasanii kumi waliotazamwa zaidi katika mtandao wa YouTube mwezi septamba.
- Diamond Platnumz– 38.1 M
- Rayvanny– 21.3 M
- Harmonize – 13.9 M
- Mbosso– 11.3 M
- Zuchu– 11.1 M
- Alikiba– 6.12 M
- Nandy– 4.28 M
- Lavalava– 3.93 M
- Jux– 3.9 M
- Ibraah – 1.86 M
Toa Maoni Yako Hapa