Sambaza

Baada Ya Kukaa Rumande A$AP Rocky Ashtakiwa

Image result for a$ap rocky

Baada ya kukaa rumande kwa siku 18 kwa kosa la kumpiga shabiki mmoja huko Stockholm nchini Sweden, rapa A$AP Rocky ashtakiwa na atapandishwa kizimbani wiki ijayo na utetezi wake kusikilizwa. Iwapo atakutwa na hatia atahukumiwa kifungo kisichopungua miaka miwili Jela

A$AP Rocky amejitetea kuwa kilichotokea pale kilikuwa ni Kujilinda Binafsi  dhidi ya shabiki yule. Lakini kama akikutwa na hatia basi yupo tayari kutumikia  kifungo cha miaka miwili Jela.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey