Sakata La Jay-Z Kuingia Ubia Na NFL Kuleta Hisia Tofauti
Sakata kuhusu rapper Jay-Z kuwa ubia na NFL kumeleta hisia tofauti baada ya hali hiyo kuonekana mshikaji wake msanii huyo aitwae diddy ameamua kuingilia kati na kulipa uzito jambo hili.
Jana muasis wa the Bad Boy Records aliamua kuingia kwenye ukurasa wake wa Instagram na kumtetea rafiki yake kuhusiana na dili la NFL. Wakati huo akiwa ni shabiki mkubwa wa Colin Kaepernick hata hivyo Diddy amewasihi mashabiki kuendelea kumuunga mkono Jay.
Diddy aliendelea kusema Jay mara nyingi amekua akipambana akiwa mwenyewe na kupigania watu kama binadamu si vyema kujigawa kwa kipindi hiki na imani atafanya mambo makubwa
Kauli ya Diddy imekuja baada ya taarifa kuhusu Jay Z za kuuenguliwa kuwa mmiliki wa NFL
Toa Maoni Yako Hapa