RAPA Mmarekani, Travis Scott ameteguka goti baada ya kuanguka stejini ambapo kuna kila dalili za kufanyiwa upasuaji. Tukio hilo limemfanya aende kumwona mtaalam wa masuala ya mifupa, Dr. Neal ElAttrache kwenye hospitali maarufu huko Los Angeles ya Cedars-Sinai Kerlan-Jobe Institute.Tafrani hiyo ilimtokea wakati akifanya shoo katika Tamasha la Rolling Loud jijini New York wakati akifanya manjonjo ya kujirusha.Source: TMZ