Wizkid, Tiwa Savage wapokea tuzo ya heshima toka kwa Diamond
STAA wa muziki Barani Afrika anayetokea nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu kwa jina la Wizkid ameeleza kuwa alichokifanya Diamond kupitia Tamasha la Wasafi usiku wa kuamkia jana ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wa Afrika.
Wizkid ameyasema hayo leo Jumatatu Novemba 11, 2019 katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dar es Salaam ukiwahusisha wasanii walioshiriki tamasha hilo.
Amesema tamasha hilo ni mfano mwingine wa kuonyesha wasanii wa Afrika ni kitu kimoja na wanashirikiana katika kazi.
Toa Maoni Yako Hapa