VIDEO – BABA LEVO ASIMULIA MAISHA YA GEREZANI “Nilimwagilia Bustani Kubwa”
MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni Diwani wa kata ya Mwanga Mjini, Mkoani Kigoma, Baba Levo amefafanua kwa ufasaha kilicho mpeleka gerezani kwa miezi minne hadi kuachiwa huru.
Alizungumza hayo kupitia Mahojiano maalumu aliyofanya Siku ya Alhamisi, Desemba 6, 2019 ndani ya 255 Global Radio.
Toa Maoni Yako Hapa