OFFSET AKUBALI KUMNUNULIA SHABIKI YAKE SIMU MPYA
BAADA ya miezi kadhaa kupita kutokea tukio la rapa Offset kuvunja simu ya shabiki wake, kesi iyo ya mashtaka ya uharibifu wa mali imefutwa baada ya rapa Offset kukubali kumnunulia simu mpya shabiki huyo.
Offset alivunja simu ya shabiki wake aliyetaka kumrekodi baada kukutana nae katika duka la nguo Target .
Toa Maoni Yako Hapa