Sambaza

Clouds Media Matatani Tena, TCRA Watoa Adhabu Kali

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesitisha leseni ya utoaji huduma za utangazaji wa kituo cha Clouds Televisheni na Redio kwa siku saba kuanzia Agosti 28 hadi Septemba 3, mwaka huu.

Aidha TCRA imekitaka kituo hicho kuanzia muda wa agizo hilo mpaka mwisho wa siku la leo kuahirisha matangazo yote na kutumia muda wote uliobakia wa siku ya leo kuomba radhi kwa umma wa Tanzania kwa kukiuka Kanuni za Utangazaji kupitia kipindi cha Clouds 360.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey