MALAIKA ANATAKA WATU WAPENDWE WAKIWA HAI
Fact! Sexy lady kunako Bongo Fleva, Diana Exavery ‘Malaika’ amesema kuwa ni muhimu kumpenda mtu akiwa hai, lakini akifa ukasema unampenda, huko ni kumkosea. Akizungumza na Gazeti la Ijumaa, Malaika alisema amejifunza vingi mno kwenye maisha hivyo hakuna sababu ya kuwa na visasi wala vinyongo maana hapa duniani watu wanapita
tu.Napenda sana mtu aniambie ananipenda nikiwa ninamuona na mimi nimjibu, lakini siyo siku sipo duniani kila mmoja anajifanya ananipenda, hiyo siyo sawa, tuthaminiane ukiwa na nguvu zetu,” alisema Malaika.
Toa Maoni Yako Hapa